Search for Podcasts
Podcast
Internet Radio

Podcast Directory:
Browse Podcasts
Add your Podcast
Remove a Podcast
Search for Podcasts
Podcast Directory
by Country
by Language
by Buzz
by Popularity
by Category
by Tags
by Region
by City
on a Google Map



Podcast Help:
What is Podcasting
Creating an XML
Podcast Hosting
Podcast Software
Firefox Plugin
Podcast Hardware




About Us:
Podcast Advertising
Contact Us
Copyright Issues
Help Wanted


Internet Radio:
Find
State
Country
Language
Music
Sports
Regions
Popularity

Trumix.com
Our New Site
Internet Radio
Podcasts
Create a Playlist



Sauti ya Mwanakijiji Podcasts

PodcastDirectory / News and Politics / News
PodcastDirectory / Regions / AF / Tanzania

Primary Format :
News

Language :
Kiswahili

Also Listed as:

City :
Mwanza
State/Province :
Unknown
Country :
Tanzania
Region :
AF
User Tags:

User Votes:

RSS Feed
Website

People found this Podcast

Searching for:

View this Podcast on a Google Map.

Podcast iTunes Link

Text Only listing of Sauti ya Mwanakijiji Podcasts

Methings.com listings of Sauti ya Mwanakijiji Podcasts

If you like this podcast, you might also like:

MAHOJIANO YA DR. SLAA NA ITV YALIYOBADILISHA MWELEKEO!

Dr. Slaa alipata nafasi ya kuzungumza siku ya Jumamosi na kituo cha Televisheni cha ITV kuhusu masuala mbalimbali ya kampeni na mwelekeo wake wa uchaguzi. Matangazo hayo yalichangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mawazo ya watu mbalimbali kuhusu Dr. Slaa na kumpatia mashabiki wengine wengi. Hata hivyo marudio ya kipindi hicho tumedokezwa yamepigwa marufuku... Hii ni nafasi ya kuyasikiliza kwa wale ambao hawakupata nafasi.

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website


Exclusive: Mahojianona Fred Mpendazoe - Mbunge aliyeikacha CCM na kujiunga CCJ!

Nilisema awali kwamba kansa ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi isingekuwa ni jambo la kutisha sana kama tungekuwa tumeanza kuona kizuri cha upinzani kinachoweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM. Ubovu wa uongozi ndani ya CCM ndio uliofanya nikapendekeza tuanzishe mfumo wa vyama vingi. Nilitumaini kuwa tunaweza kupata chama kingine kizuri ambacho kingeweza kuiongoza nchi yetu badala CCM au ambacho kingekilazimisha Chama Cha Mapmduzi kusafisha uongozi wake kwa kuhofia kuwa bila kufanya ...

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website


Mchango wa mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi; Ni sheria mbaya!

Mapema leo nimeshiriki kwenye mjadala wa Star TV kuhusu sheria iliyopitishwa hivi karibuni ambayo inalengo la kusimamia matumizi ya fedha katika Uchaguzi. Rais Kikwete alitumia hotuba yake ya mwisho wa mwezi Februari kuelezea juu ya uzuri wa sheria hii na kwanini ataitia sahihi kwa mbwembwe kuonesha kuwa anatimiza ahadi yake ya 2005. Kwa maoni yangu sheria hii ni miongoni mwa sheria mbaya na ambayo itatuletea matatizo kuliko Sheria ya Madini ya 1998, Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ...

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website


Mahojiano na Waziri Phillip Marmo Juu ya Wagombea Binafsi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge) Bw. Phillip Marmo (pichani) amesema kuwa serikali haitokaidi uamuzi wa Mahakama kuhusu suala la wagombea binafsi endapo Mahakama ya Rufani itasisitiza kuwa waruhusiwe kwenye uchaguzi mkuu ujao kama ilivyoamuriwa na Mahakama Kuu mwaka 2005. Hata hivyo, Bw. Marmo amesema kuwa kutokana na mchakato wa maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mbali endapo msimamo wa mahakama utakuwa ni ule ule basi itabidi uchaguzi mkuu uahirishwe ili kuruhusu utaratibu wa ...

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website


Mahojiano ya Mwanakijiji na PowerBreakfast - Clouds FM

Nimepata nafasi ya kuzungumza kwa muda mrefu na mojawapo ya vipindi maarufu nchini Tanzania kile cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Nilizungumza na Bw. Gerald Hando. Hii ni sehemu ya mahojiano hayo.

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website


Mahojiano na Chama cha Msalaba Mwekundu na Mpango wa kusaidia wahanga wa Mafuriko!

Unaweza kupata mpango tulio nao hadi hivi sasa wa kushiriki katika kuchangia wahanga wa mafuriko yanayoendelea nchini kupitia Chama cha Msalaba Mwekundu. Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mkuu wa Kitengo cha Maafa wa chama hicho nchini Bw. Joseph Kimaryo ambaye anatueleza hali ilivyo hadi hivi sasa (Jumamosi Januari 9, 2010). Kwa kushirikiana na tovuti za Jamiiforums na Mdau wa Jamii Bw. Issa Michuzi; pamoja na kushirikiana na Mtandao wa Wanaataluma wa Tanzania (TPN) tumeandaa m ...

Listen | Listen in your iPhone | Download | View full cache | Visit Website